..napenda kuchukua nafasi hii kuomba msaada wa kimawazo kwa wana-JF popote walipo,ndani na nje ya nchi,..nilinunua gari used-costa(..siwezi kuidiskribe sabu sina utaalam sana wa magari zaidi ya kuweza kujua ipi ni costa,hice,etc..) mwishoni mwa 2010,ilifanya kazi vizuri constantly kwa muda kama wa miezi5hivi,ila afta zat ikawa mara brek mbovu,gear-box imeharibika,mara spring-zimekta,etc..,went on like zat in such a way I cant even say I had any kind of profit from it,rather mor and mor stress!!!!
Last yr in nikaambiwa engine ndo imeharika,kama ikipatikana mpya basi gari itarudi barabarani bila problem,nikajibanabana na kuduliza vijisenti nikanunua engine in October 2011 kwa 4.2M,ila baada kama ya mwezi matatizo ya vi2vingine yakaanza tena,kwa sasa gari inapiga mzigo labda kwa siku2zen wiki iko hom kusubiri hela ya kununulia ki2ambacho kitakuwa kimeharibika kwasabu kwa sasa sina ki2n in short sina ma2maini ya kwamba naweza kusimama na kuanza kuhesabu faida na kutoka kwa staili ya biashara ya usafirishaji ingawa nilipopiga mahesabu ya TzSh 70,000/= kwa siku niliona kuwa ingeweza kuwa ni biashara nzuri ya kuanzia kutafuta maisha,sabu moja ya dreams zangu za maisha ni kuja kujiajiri mwenyewe kwa kuwa na miradi yangu binafsi kwa badaye ntakapomaliza chuo!!!
Kwa sasa niko njia panda (i.e.. kwasababu napenda biashara ingawa sina elimu ya biashara proffesionally and its hard4Me..),
1) Niliuze au niemndelee nalo(i.e kama kuendelea nalo ni kivipi ili kuweza kupata faida)????
2) Sina fedha yoyote ya kuweza kulifanyia service ful kwa ku-repair kila ki2kilichoharibika,JE KUNA UWEZEKANO WA KU2MIA GARI AMBAYO HAIKO NZIMA FUL KAMA HII KUWEKA REHANI NA KUPATA MKOPO IN ANY ASSOCIATION Tz(..naomba infoz za riba plz)??
3) Kuna m2yeyote ambaye alitoka kwa kuanza na gari moja (..if yes,naomba msaada wenu plz..) ???
THANK U OL IN ADVANCE4EVRY SINGLE COMENT AND TROUBLE ZAT U TAKE2HELP PEOPLE LIKE ME2C ZE FUTURE!!!
Ukitaka kunipatia infoz zako ila ungependa iwe personal,my mail is vagalrecurent@hotmail.com !!!
Mfano gar 16mil makusanyo toka lipo barabaran 26mil, gharama zauwendeshaji 6mil. Utachukua 26m-16m=10m, then chukua 10m-6m=4m. Ikiwa utapata jibu chanya usiuze gari ukipata jibu hasi kwakwel uza gari, ukipata jibu sifuri pia usiuze gari maana uwenda itakurudishia faida. Baada yahapo naweza kukusaidia zaidi.
Asante.
Mkuu tumaini, naona ushauri wako sio wakitaalamu sana. Hesabu za bihashara ambayo jamaa anaifanya haziko rahisi kama mfano wako ulivyo. Jamaa anakuambia kwamba in practical capital yake (given time of operation) haijarudi na anachofanya sasa nikutumia ela yake ya mfukoni kugharamia matengenezo. Kiutaalamu zaidi lazima uingizie time factor kwenye hesabu zako ili ujue pato la kila siku linarudisha mtaji kwa asilimia ngapi, uku uki factor in waring and tarring.
Nilivyomsoma mimi mtoa mada, mapato ya siku hayampi punguzo la mtaji na badala yake anajiongezea mtaji tu kwa kutumia ela yake mwenyewe ku finance matengenezo.
Kwa sasa inabidi ufanye mahesanbu ndo utajua kama kuna haja ya kuendelea na hii biashara.
Una expirience sasa ya hiyo gari ikiwa inafanya kazi inaingiza kiasi gani sasa fanya mahesabu je ukiigharamia kuitengeneza hiyo gari itachukua muda gani kwa hela yako kurudi? Je muda huo ni bora ungeweka hela yako benki ikusanye riba au uinvest kwenye low risk gov bonds, je hiyo hela unaweza kuitumia sehemu nyingine kuzalisha zaidi?
Fungua spreadsheet anza kuingiza namba zote zilizotoka na ukingia hadi leo, utapata idea za jinsi ya kuzitoa na kugawanya namba zako hadi utapata jibu.
Kuna kitu pia kinaitwa "sunk cost fallacy" hii ni ile idea kwa kuwa nimeshatumia million 20 kwenye hii biashara basi niendlee kutumia zaidi hata kama namba zinaniambia huko mbele ni hasra tu, jilinde na hilo.
Dude can't you just write 'proper' sentences. What's with this sms writing you're using here. Your an educated person I presume, so please use that education to put across whatever argument or explanation....thnx JB4ur help,wil inbox U soon4mor infoz and experience sharing,alwyz I like2learn frm azaz wiz experience,I real apriciate ur concern..
..thanks evrybdy frm up there,ila nilipenda kuongezea ki2kwa Smarter,point aliyoingeza ya ''..SERVICE..'' imenigusa,ni ki2ambacho mimi mwenyewe niliomba gari iwe inakwenda service evry weekend(i.e once per week) sabu suala zima la feza na ukichek ndo kwanza nlikua naanza biznes yenyewe,tatizo ni kwamba siko Tz,niko nje kimasomo(i.e nachukua MEDICINE),hom niliemuachia kuangalia na kupokea feza ni mdogo wangu ambaye(..bkoz my family is not not in DSM),nazani kuna ukweli fulani ktk suala zima la ufatiliaji wa service,kwamba eiza vfaa huwa vinabadilishwa kweli au jst vinapigwa msasa wa juujuu2na kukbadhiwa,zen in2-3days U ar back again wiz no idea at ol...
...my bigest dream is to see myself havin my own Hospitals or Clinics back hom smdys,sabu nimeona jinsi gani wenze2wako far ktk suala la afya ya jamii,so nlipopata hili dili na zile caculations za Shs 70,000/= per day zilinivutia akilini na kuvutika kuanza na hii ili nii2mie kusev4my future planz na kuexpand kadri oportunities zitakavojitokeza..,pia ni kweli kwamba elimu ya magari kiundani sinayo4sure..