Hao jamaa wanamtandao mkubwa na baadhi ya serikali za nchi za africa mashariki, kwa hiyo ni vigumu kujihusisha na serikali isipokuwa makundi mengine kama vyama vya upinzani. Tutegemee amani tele Tisa Decemba. Ila kama vyama vya upinzani, Jukwaa la katiba namakundi mengine yakitaka kufanya shughuli zao basi jamaa wanapewa ruksa.
Mkuu naakubaliana na wewe kuwa Polisi wanamahusiano makubwa na hawa Al Shabab. Inabidi tujiulize, inakuwaje CCM wanavyotaka kuandamana Al Shabab hawa washambulii. Hivi majuzi NEC sijui CC wamefanya mkutano kibao Dodoma lakini hawakushambulia. Na ninaamini kuwa Al Shababu wanapenda sana dini zote, za kiislamu na za Kikristo. Nasema hivyo sababu, polisi hawajawahi kutoa taadhali kuwa kuna hatari kuwa Al shababu watawashambulia waumini wa dini hizoinaonekana alshaabab na polisi wana mawasiliano zaidi maana ikiwa ni wapinzani tu basi wanaibuka lakini ikiwa serikali/ccm basi alshabab wanakua wako kwao wanakula mirungi
FUNNY!!
Mkuu naakubaliana na wewe kuwa Polisi wanamahusiano makubwa na hawa Al Shabab. Inabidi tujiulize, inakuwaje CCM wanavyotaka kuandamana Al Shabab hawa washambulii. Hivi majuzi NEC sijui CC wamefanya mkutano kibao Dodoma lakini hawakushambulia. Na ninaamini kuwa Al Shababu wanapenda sana dini zote, za kiislamu na za Kikristo. Nasema hivyo sababu, polisi hawajawahi kutoa taadhali kuwa kuna hatari kuwa Al shababu watawashambulia waumini wa dini hizo
Alshababu vilevile wanapenda sana michezo. Hatujawahi kusikia kuwa polisi wametoa angalizi kwa wapenzi na washabiki wa mpira wakati wanakwenda au kutoka katika viwanja vya mpira wajitahadhari
Al shababu wanapenda sana wanafunzi. Hatujawahi kusikia wakitaka kulipua mashule au mikusanyiko ya wanfunzi, iwe wa shule ya msingi au vyuoni
Al shababu pia wanapenda sana sherehe ya Uhuru wa Tanganyika. Al shababu wameruhusu Majeshi yetu (ya Polisi, magereza, JW nk.)wanakifanya magwaride kwa ajili ya maandalizi ya DEC 9, Hatujaambiwa kuwa magwarde hayatofanyika sababu ya tishio la Al shababu
Konklusheni; Al shababu hapendi vyama vya upinzani kufanya maandamano na hawapendi watu wote wanaotaka kufanya maandamano ya kupinga mswaada wa katiba. Kinachonisikitisha ni kuwa polisi hawataki kutuambia hilo kwa sababu , polisi wanapata taarifa zote za Al shababu juu ya mashambulizi yao. Kama una hamu ya kufanya maandamano jiunge na CCM
kwahiyo aishababu ni magamba sio???hamna cha aisha babu wala nini, ni mbwembwe tu za ccm kuhujumu demokrasia na haki za msingi za wananchi
Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika kwa mkusanyiko wowote mkubwa siku hiyo.
Ni maoni binafsi tu.
so our kids dont want new constitution, better life, facts and truth, wakisikia hayo tu wanaongea na kova kuwa watalipuaalishabaab are not aliens they are our kids or relatives and they live among us.wanaweza kulipua wakiamua ila hawana ugomvi na sisi
kama hakuna tishio na sherehe zitakwenda sawa sidhani kama watakuwa na kisingizio tena cha kuzuia maandamano