Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .
Husaidia kuondoa mipasuko ya midomo, ukavu, vidonda na michubuko.
Pia husaidia na kuondoa maumivu na kuponya watu walio jikata, kung'atwa na wadudu na kuungua moto.
Bidhaa hii ikipakwa mwilini husaidia kufukuza mbu.
Kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa(haemorrhoids), ikipakwa husaidia kuu bacteria na kuondoa uvimbe.
Ndiyo, tumesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya dawa Tanzania. Tupo Quality Plaza, Ground floor. Mimi ni authorized distributor wa Forever Living. Piga simu nitakuletea bidhaa eneo lolote ndani ya Dar. Kwa mikoani inabidi kufanya arrangement kidogo. Karibu sana.