Abdallah kimwaga
Member
- Dec 16, 2012
- 49
- 8
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!kamanda bananga akiwahutubu wakazi wa manyoni.asema watanzania wa kawaida ni sawa na kuku wa kiyenyeji mbele ya ccm.kuku wa kienyeji thamani yao ni pale afikapo mgeni au anapofurahi mfugaji.na hapo huwa kifo kwa kuku.hivyo tuikatee ccm.aliendelea kusema nyerere aliacha mambo mengi lakini viongozi wa sasa yote waneacha kuyaendeleza kwa manufaa yao.kasoro moja tu la mwenge ambala halina maana...bravo kamanda
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!
Huyu si ndio alileta hasara kulr Iramba chadema ikapata SIFURI...