Allocation za mkopo

Queen lizy

Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
24
Reaction score
6
Jaman naomba mnijuze tena, mimi ni mwanachuo mwaka wa 2, mpaka Sasa sijasaini hela ya kujikimu (boom) so katika ufatiliaji Kwa loan officer pamoja na waziri wake, wakasema allocation zimekuja Kwa hiyo uhakika wa kusaini sheet ikishafika upo, Sasa swali langu ni kuwa je ni kweli kuna uhusiano wa allocation na uhakika wa kuingiziwa pesa sheet ikishafika? Au walikuwa wanatupoza tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mpaka Sasa 2nd year,why siku zote hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, bila allocation kutoka huwezi kuonekana kwenye sheet ya kusaini, kuwa mvumilivu,

Mkuu bila shaka ulikuwa na sup mbona jina lako limechelewa ivoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…