Dally Kimoko alikuwa zaidi banaaWale wahenga katika mziki wa Bolingo.... nadhani mtakumbuka enzi zile wazaire walivyoweza kuteka soko la mziki kanda ya nchi za Africa Mashariki,.. Kama vile wanamziki, Koffi, Madilu, Wenge BCBG, Extra, Kanda Bongoma, soukous (group) , awilo na wengine kibao... Lakini pia kulikua na wakali wa guitar,... Sasa leo niwalete kwenu wataalam hawa wawili,.. Allan Makaba Vs Dally Kimoko, ni nani alikua fundi zaidi wa guitar.....
da lofombo longtime sana mwaka 1994 hukoHivi mlishawahi kumckia Lofombo alivokuwa analiungurumisha gitaa la besi lakini
Nilikuwa nakubali sana kazi ya vidole vya yule jamaada lofombo longtime sana mwaka 1994 huko
General Galadudu umepotea sana nimemis story zako za kusisimua very creative una matukio sana wewe ha ha haNilikuwa nakubali sana kazi ya vidole vya yule jamaa
Mi nipo na humu naingia sana tu isipokuwa sichangii, nimetingwa na pilika pilikapilika c unajua tenaGeneral Galadudu umepotea sana nimemis story zako za kusisimua very creative una matukio sana wewe ha ha ha
Hivi umeelewa kweli mtoa mada anataka nini?Diblo Dibala