bestunlocksolution
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 212
- 57
- Thread starter
-
- #41
Inahitaji network pin, Product name: TOSHIBA AT105/16GB, Product version: PDA01u - 00801F, Serial number: 2c20398IR, IMEI: 358908040004774
ingiza hizi namba ikiwa naina line uniambie inasemaje simu...**00012*66779729#
Inadai network pin ukiweka tu laini, lakini kama hujaweka laini unaweza kuitumia unavyotaka.
Soma msg zangu kwa makini ninazo kupa maelekezo ndugu nimekwambia ingiza hizo namba simu ikiwa haina line au hujaona maelekezo hayo?
hizi hapa mkuu
358568042358022
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY NK
CONTACT - 0753120120 WEB : www.bestunlocksolution.com
VODAFONE V875, V785, VF685 SIMU 10 ZA MWANZO BURE BAADA YA HAPO GARAMA NI 5,000/=

mkuu mbona kimya nimekupm ile issue ya blackberry torch 9850 yny imei hii
358568042358022
Mkuu naomba msaada wako wa ku unlock, huawei y 330
Imei,, 860557021547698
Ntashukuru sana mkuu
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY NK
CONTACT - 0753120120 WEB : www.bestunlocksolution.com
VODAFONE V875, V785, VF685 SIMU 10 ZA MWANZO BURE BAADA YA HAPO GARAMA NI 5,000/=
Mkuu na mm nna shida hiyo. Huawei y300.
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY NK
CONTACT - 0753120120 WEB : www.bestunlocksolution.com
VODAFONE V875, V785, VF685 SIMU 10 ZA MWANZO BURE BAADA YA HAPO GARAMA NI 5,000/=[/QUOTE
Mkuu vipi bado hiyo issue ya blackberry
mkuu mbona kimya nimekupm ile issue ya blackberry torch 9850 yny imei hii
358568042358022
ingiza hizi namba ikiwa naina line uniambie inasemaje simu...**00012*66779729#
Mkuu inagoma, hii sio simu ni tablet mkuu, nimejaribu kuingiza hizo namba inagoma.
sawa najuwa itagoma nilitaka uniambie ukiingiza inasemaje ndio nia hakupata taarifa ya simu yako nijue pakuanzia
Haikunipa taarifa yoyote mkuu.