Aliyeweza kutuma application TPB

Jotojiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
334
Reaction score
130
Kama kuna mtu aliyeweza kutuma application Tanzania postal bank naomba anijuze amefanya vipi maana mimi mpaka mda huu sijafanyikisha, nikituma kwa address yao inanigomea.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Yaani hata mm pia nimejaribu inakataa bila shaka kuna ishu wanafanya hawa siwaelewi kabisa.:A S 13:
 
Kumbe miezi mitatu tu! hawa watu sijawaelewa hata kodogo.
 
Potezeeni waendelee kupeana wenyewe nyambafu zao
 
Mimi nilizani usiku ndo mtandao unakuwa poa, si nikatega alam ya saa saba usiku, dah! Nilituma lakini baada ya dk 2 naona meseji ya kuferi kwa application yangu. Hawapo makini hao.
 
Tanzania kuna ubabe wa kila aina, kama hawa hawana hofu yoyote juu hili!!!!!!!!!.
 
jaribu kuifoward tena itakwenda. hata mm ilinigomea juzi bt jana nikaifoward ikasent.
 
Naona kama imeenda maana haija leta ile fail reply, jaribuni mara kadhaa mtafanikiwa.
 
Bado inagoma kutuma jamani, msaada tutani na kesho kutwa ndo deadline ya kutuma
 
Kwa tetesi nilizopata wanapeana kindugu kama unandugu yako pale tpb atakuwa shaidi
 
Jaribu kwa gmail ndio niliyotumia
 
Kuna mtu nimemtumia na imeenda niliicopy email na kuipaste kwenye address box na haijaniambia km imefail
 
wakuu hawa jamaa mail server yao inamatatizo ndomana sometymes inazingua ila ukijaribu kutuma mara kwa mara inakubali mimi mwenyewe ilikua inanigomea bt ikaja kukubali, solution ni kujarib kutuma mara nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…