Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
A programmer/code monkey, computer programmer, developer, coder, or software engineer is a person who writes computer software.Vilevile programmer/code monkey anaweza kubobea in one area of computer programming or to a generalist who writes code for many kinds of software.Anaweza akawa software developer, Web Developer, Mobile Applications Developer, Embedded Firmware Developer, software engineer, computer scientist, or software analyst.Hivyo basi mkuu huyo jamaa uliyemtaja hapo juu ni wa kawaida sana kama ma programmers wengine kinachohitajika ni utofauti yani ile creativity aje na kitu kipya kitakachowashangaza watu kutokana na utofauti wake.Huyo jamaa yako aumize kichwa sana mkuu Stormerydrjaman najiuliza,je wataalam kuikimbia tanzania ni nchi haina fedha au haiwataki hao wataalam? Kijana mmoja anafamu computer science(bcoz ndo anachopenda) anajua computer langs kama c++,java,php,javascript,PYTHON naameandika softwares kazaa anazozitumia kwenye linux yake,na anampango mkubwa hataki kuusema,pia ni webhacker,defacer.JE KAMA MTIHANI WA MOCK MATH ALIKUWA ANA B NECTA ANA D,SI MABANK YAJIANDAE
A programmer/code monkey, computer programmer, developer, coder, or software engineer is a person who writes computer software.Vilevile programmer/code monkey anaweza kubobea in one area of computer programming or to a generalist who writes code for many kinds of software.Anaweza akawa software developer, Web Developer, Mobile Applications Developer, Embedded Firmware Developer, software engineer, computer scientist, or software analyst.Hivyo basi mkuu huyo jamaa uliyemtaja hapo juu ni wa kawaida sana kama ma programmers wengine kinachohitajika ni utofauti yani ile creativity aje na kitu kipya kitakachowashangaza watu kutokana na utofauti wake.Huyo jamaa yako aumize kichwa sana mkuu Stormerydr
Si ujiseme tu mtu huyo ni wewe? Khaa! Unakera na vijilugha vyako aisee!jamaa nilishangaa kuona anadesign algorthims kama za facemash,pia na Big Oh notation
Si ujiseme tu mtu huyo ni wewe? Khaa! Unakera na vijilugha vyako aisee!
Si kweli! si kwa ile muvie ya Social Network??,,It's a movie kaka, so lots of Artistic License can be used to stretch the truth around the story.Anyways embu paste hapa kiji-script kidogo nijionee maajabu ya huyo jamaa.Coz Facemash is an algorithm which is actually based on another algorithm called Elo Rating System.jamaa nilishangaa kuona anadesign algorthims kama za facemash,pia na Big Oh notation
Mwambie mkuu kwa Bank ni kazi sana,,,,na ni lazima kuwe na Inside ManKwa vile anajishughulisha na defacing websites inaonekana bado hajakomaa kiakili huyo, pia msifikiri kuweza kuvuruga wordpress blog ya mtu ndo utaweza kuingia benki, hiyo ni level tofauti kabisa.
Kupasi mtihani sio kuwa na akili tu pia kuwa na discipline ya kukomaa na vitu ambavyo hauvipendi au unavichukia kibisa.
Si kweli! si kwa ile muvie ya Social Network??,,Its a movie kaka, so lots of Artistic License can be used to stretch the truth around the story.Anyways embu paste hapa kiji-script kidogo nijionee maajabu ya huyo jamaa.Coz Facemash is an algorithm which is actually based on another algorithm called Elo Rating System.
Mwambie mkuu kwa Bank ni kazi sana,,,,na ni lazima kuwe na Inside Man
Unacheza wewe,,,,,Telnet client haina lolote..Hivi unaelewa lakini unachokisema??Ni kazi sana lazima ujue Core Banking system wanayotumia hiyo Bank ,,User-name and password pia vinahusika kuna vitu vingi sana mkuu,,Mgawanyo wa Kazi mtu huyu anafanya hichi huyo anafanya hichi,,ndio maana nikasema Inside Man anahitajika kwenye ishu kama hii..jsp,telnet
Unacheza wewe,,,,,Telnet client haina lolote..Hivi unaelewa lakini unachokisema??Ni kazi sana lazima ujue Core Banking system wanayotumia hiyo Bank ,,User-name and password pia vinahusika kuna vitu vingi sana mkuu,,Mgawanyo wa Kazi mtu huyu anafanya hichi huyo anafanya hichi,,ndio maana nikasema Inside Man anahitajika kwenye ishu kama hii.
Si kweli! si kwa ile muvie ya Social Network??,,Its a movie kaka, so lots of Artistic License can be used to stretch the truth around the story.Anyways embu paste hapa kiji-script kidogo nijionee maajabu ya huyo jamaa.Coz Facemash is an algorithm which is actually based on another algorithm called Elo Rating System.
Unacheza wewe,,,,,Telnet client haina lolote..Hivi unaelewa lakini unachokisema??Ni kazi sana lazima ujue Core Banking system wanayotumia hiyo Bank ,,User-name and password pia vinahusika kuna vitu vingi sana mkuu,,Mgawanyo wa Kazi mtu huyu anafanya hichi huyo anafanya hichi,,ndio maana nikasema Inside Man anahitajika kwenye ishu kama hii.
Mr. Tutor, no need of that. Just pull and contribute here. We need developers and you can be of help!guys im his tutor,what i know in computer science programming is only important for implemententing algorithims,kwa nn isiwepo competetion ,coz u guys most of you seem to be novices.mmejifunza def. ZA arrays but cant use it in real problems
Natumia php, Java, HTML, na PYThon Nilipata ziro masomo yote form 4 lakini nina B ya math Maisha yanaendelea
jaman najiuliza,je wataalam kuikimbia tanzania ni nchi haina fedha au haiwataki hao wataalam? Kijana mmoja anafamu computer science(bcoz ndo anachopenda) anajua computer langs kama c++,java,php,javascript,PYTHON naameandika softwares kazaa anazozitumia kwenye linux yake,na anampango mkubwa hataki kuusema,pia ni webhacker,defacer.JE KAMA MTIHANI WA MOCK MATH ALIKUWA ANA B NECTA ANA D,SI MABANK YAJIANDAE
cheti baba maneno mengi ya nn
Well said ray05Mkuu unam'ovadozi' huyo jamaa,alichosema CTO ni sahihi kabisa,huyu mtu ndio huyo anayemuita mtaalam na hapa anatafuta njia ya kutokea na hiyo div IV yake.Anyway anaonekana amepitiapitia tu vi'how to...' vichache vinamfanya ajiite programmer. Namshauri awahi veta kabla deadline ya kuchukua forms haijapita.