aliyepata divIV 27 anaweza kuandika python exploit na kuhack sym je hanauwezo?

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,287
Reaction score
13,705
jaman najiuliza,je wataalam kuikimbia tanzania ni nchi haina fedha au haiwataki hao wataalam? Kijana mmoja anafamu computer science(bcoz ndo anachopenda) anajua computer langs kama c++,java,php,javascript,PYTHON naameandika softwares kazaa anazozitumia kwenye linux yake,na anampango mkubwa hataki kuusema,pia ni webhacker,defacer.JE KAMA MTIHANI WA MOCK MATH ALIKUWA ANA B NECTA ANA D,SI MABANK YAJIANDAE
 
serikali,wadau kwa lengo la kuzuia misuse of their knowladge
 
Hujui tanzania Hata kama utakuwa ni mtaalam kivipi bila cheti cha kukudhibitisha huaminiki....

LABDA BONGO MOVIE AENDE NDO ATAPONEA HUKO
 
Vijana ni wakati wa kuleta mageuzi kwa kutumia ujuzi siyo cheti.
Kama unaweza kuandika program ya computer yenye kutatua tatizo katika jamii
Kinachofuata si kutafuta kazi ni kutafuta namna ya kutumia program hiyo kugenerate fund.
Ni jambo gumu lakini hiyo ndo njia sahihi.
Wakati mwingine ni vema hata kufanya uharamia na ujuzi wako ili kufanya watu wa pay antention.
 
well said, unamaanisha ajiajiri then akomae atatafutwa tu me nashangaa mtu ana vyeti kibao lakini ufanisi zero.
 

umenena
 
Hujui tanzania Hata kama utakuwa ni mtaalam kivipi bila cheti cha kukudhibitisha huaminiki....

LABDA BONGO MOVIE AENDE NDO ATAPONEA HUKO

Ulichosema ni kweli,sasa mapinduzi yataanzia na nani?Mimi binafsi huwa nawaambia straight kama unataka result you can count on me kama vyeti subilia muda kidogo.
Kwa potential employers wanataka result hata ukiwa na vyeti vizuri unahitaji kuprove "you can provide them the result they want".Lakini tatizo je huyo anayeajiri anaufahamu wa haya maswala?Most of them no then option inayoback ni "if you can not fight them join them".tafuta vyeti wanavyovitaka why?It is easy to change yourself than to change others.
 
mf udsm,tcu webzao zimevamiwa sasa hao waliopewa kazi .hii ndo elimu yetu bhana
 
je wataalam wanatakiwa watunzejwe?

serikali,wadau kwa lengo la kuzuia misuse of their knowladge

Hivi wewe unataka kila anaweza kutengeneza software serikali imtunze au ni huyo mtu kwasabab umepata hiyo div IV ya 27? Na serikali itajuaje kama kuna mtu nimtaalamu wa kutengeneza software huko magomeni mapipa wakati umesema hizo software anatumia kwenye linux yake? Its time for us kuchakarika sasa,angalia wenzetu nje utakuta mtu ana miaka 14 anamiliki site ya torrents na anaingiza hela kuliko hata wazazi wake,angalia.mahacker wanaokamatwa siku hizi karibu wote ni mateenagers,sisi tunasubiri tuseme serikali haitunzi wataalam wakati serikali yenyewe hata kutoa basic needs kama chakula na makazi ni TATIZO. Mwambie jamaa yako ashirikishe jamii na sio akae chumbani na uwezo wake.
 
elimu ni uwezo sio cheti so kijana jiajiri mwenyewe au tafuta mapartiner wa kufanya nao kazi mtaguja kutoka tu na serikali itatoa mchango wake wakati tayari mna jina kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi vinginevyo endelea kudumaa tu kwa kusubiri supporter ya serilikali isiyojali
 

Kwa vile anajishughulisha na defacing websites inaonekana bado hajakomaa kiakili huyo, pia msifikiri kuweza kuvuruga wordpress blog ya mtu ndo utaweza kuingia benki, hiyo ni level tofauti kabisa.

Kupasi mtihani sio kuwa na akili tu pia kuwa na discipline ya kukomaa na vitu ambavyo hauvipendi au unavichukia kibisa.
 

good,advice budget ya BOA ni sawa na BOT?best hacker write his own exploits,he can do altificial intellegence
 

je wataalam wanatakiwa watunzejwe?

serikali,wadau kwa lengo la kuzuia misuse of their knowladge

wakipewa uraia na nchi nyingine,izo kelele

mf udsm,tcu webzao zimevamiwa sasa hao waliopewa kazi .hii ndo elimu yetu bhana

albert heinsten,and german

movers and shakers

good,advice budget ya BOA ni sawa na BOT?best hacker write his own exploits,he can do altificial intellegence
Dah! Yaani hii kiswahili yako kama ya Pdidy sielewagi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…