Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,307
- 62,526
Kweli mkuuMaji mazito kuliko damu
Maisha na muziki yanaenda pamoja, hutakiwi kuwa bize sanaSahihi mkuu. Ila saa tano saa usiku saivi na sijatumia Kipeuo cha pili kwenye shughuli zangu.
Wa wapi huyoMariam huyo
Sio chai 😀Chai
Huu ni ubinafsi
Dah wewe bado unawaza mapenzi ,mimi nawaza pesa on how i mprove myself to a better living mapenz nishayazoega tu tangu enzi za uteenager sasaivi nimekuwa mwanaume akili yangu inawaza kikubwa zaidi yaani mafanikio yangu binafsi personal IMPROVEMENT
Mafanikio ishi ki billgate sehemu yoyote ishi simple usijionyeshe una ela tulia tafakari bwana mdogo ishi simple wear simple just like mark zarckbeuer founder of fb he just simple mi ndio kodi zangu hizo i wear simple casual outfitMafanikio bila mapenzi yana umuhimu gani? Dunia hii ingekuwa na jinsia moja tu, unafiki kungekuwa na maendeleo?
Ata ile kuoga kila siku, inatokana na nguvu ya mapenzi; upite sehemu unukie ili uonekane nadhifu n.k
Lasivyo watu wangekuwa wakitembea wakinuka midomo, kutokunawa uso n.k
Dunia hii kila mmoja ana sifa yake ya kipekee na unatakiwa uishi kwenye huo upekee, na sio kuiga iga watu; ufanikiwe ili iweje? kwamba utajenga kiwanda cha ndege za kivita au?Mafanikio ishi ki billgate sehemu yoyote ishi simple usijionyeshe una ela tulia tafakari bwana mdogo ishi simple wear simple just like mark zarckbeuer founder of fb he just simple mi ndio kodi zangu hizo i wear simple casual outfit