Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,902
😁😁😁😁Kwa hiyo wanataka wamsulubishe mara ya pili Yesu
Hawa jamaa ! [emoji1]
Sasa sijui amepaa tenaAnakusanya hela ili akawaandalie makazi mbinguni!! 😀 😀
Labda kisharudi Mbinguni tayari.Sasa sijui amepaa tena
Si kuna reliable source hapo? Acha uvivu tembelea hukoNaomba picha akiwa anatimuliwa
Usafiri aliotumia ndugu fake JesusLabda kisharudi Mbinguni tayari.
😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lingekuwa limeandika gazeti la musiba ingekuwa shoga aliyejifanya yesu afukuzwa kazi Kenya.
Siku hizi ni zaidi ya ulevi wa ungaImani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kutokea hapa duniani
Maombi tu.Usafiri aliotumia ndugu fake Jesus
😁😁😁😁Maombi tu.
Unaambiwa yesu alisharudi kwa mara ya pili duniani ila kwa style ya kulipa kisasiKwa hiyo wanataka wamsulubishe mara ya pili Yesu
Hawa jamaa ! [emoji1]