Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Aug 10, 2015 #1 Alishindwa katika kura za maoni. Mtakumbuka kwa kipindi kirefu jimbo hili limeongozwa na Shabiby. Mgombea huyu analalamikia rushwa katika utaratibu wa kumpitisha Shabiby.
Alishindwa katika kura za maoni. Mtakumbuka kwa kipindi kirefu jimbo hili limeongozwa na Shabiby. Mgombea huyu analalamikia rushwa katika utaratibu wa kumpitisha Shabiby.
Laurence JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 3,104 Reaction score 426 Aug 10, 2015 #2 Mbona haueleweki mkuu? Yupi sasa aliehamia Chadema? Shabiby au?
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,638 Reaction score 2,995 Aug 10, 2015 #3 Mbona sikuelewi?
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Aug 10, 2015 #4 Twoten said: Mbona sikuelewi? Click to expand... Kweli kabisa haeleweki
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,372 Reaction score 37,908 Aug 10, 2015 #5 Ebu jipange kidogo habari yako imejaa ukakasi.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,080 Reaction score 12,080 Aug 10, 2015 #6 Upo kwenye maandamao nini na wewe? tulia andika vizuri ueleweke.
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,326 Aug 10, 2015 #7 Embu tupatie ukweli nani kahamia chadema
M mangola JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 679 Reaction score 203 Aug 10, 2015 #8 Umekurupuka, vuta pumzi kisha urudi tena
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,326 Aug 10, 2015 #9 Punguza papara afu utuambie kamanda
H hatua Member Joined Jul 31, 2015 Posts 12 Reaction score 3 Aug 10, 2015 #10 Mkuu ni rushwa ya kumpitisha Lowassa au Shabiby
C chura mweusi JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 394 Reaction score 89 Aug 10, 2015 #11 Hang over ya viroba na ugimbi
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,365 Reaction score 3,657 Aug 10, 2015 #12 emmanuel mngongose au nani???
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Aug 10, 2015 #13 Vuluvulu
K katusyo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 1,455 Reaction score 434 Aug 10, 2015 #14 Malizia Kwanza Maandamano Alafu Ndio Uje Utujuze Kamanda
mkafrend JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 3,045 Reaction score 1,503 Aug 10, 2015 #15 katusyo said: Malizia Kwanza Maandamano Alafu Ndio Uje Utujuze Kamanda Click to expand... Mleta uzi hana shida, mie namlaumu mwalimu wake!
katusyo said: Malizia Kwanza Maandamano Alafu Ndio Uje Utujuze Kamanda Click to expand... Mleta uzi hana shida, mie namlaumu mwalimu wake!