ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Hahaaaaaaaaaa kweli mkuuKwa wafuatiliaji wa tamthiriya pendwa azam tv
Hii Jamai Raja ilianzaga vizuri sana na ikatupa na hamasa Ya kuifuatilia lakini
îlipofikia île siku alipouawa Rajvee kwa Risasi iliyopigwa na mama yake Roshn
Hapo ndipo kosa lilipofanyika na ndiyo ikawa mwisho wa kueleweka mchezo huu
Kwa ilivyo sasa ki ukweli haueleweki, Sedat aliyekua boss ktk kampuni Ya Baba yake siku za nyuma, akiheshimika sasa amekua kama kachanganyikiwa kazi hafanyi anashinda na wakina mama nyumbani !!
Mwelekeo ni upi waungwana ?
We chunga nyani huko vijijini wasimalize mahindi mjini tuna viburudisho vingiWanaume wa Dar mna mambo!!?
KeMkuu, naomba kujua jinsia yako tafadhali.
Samahani nimetoka nje ya mada
Ohhhppppssss....[emoji29] [emoji25] [emoji25]
[emoji678]Ohhhppppssss....[emoji29] [emoji25] [emoji25]
Samahani sana mkuu, najiona nilivyo mzee na nimekukosea adabu.
Naomba niishie hapa kwa watakao nielewe
Wanaume wa dar banahKwa wafuatiliaji wa tamthiriya pendwa azam tv
Hii Jamai Raja ilianzaga vizuri sana na ikatupa na hamasa Ya kuifuatilia lakini
îlipofikia île siku alipouawa Rajvee kwa Risasi iliyopigwa na mama yake Roshn
Hapo ndipo kosa lilipofanyika na ndiyo ikawa mwisho wa kueleweka mchezo huu
Kwa ilivyo sasa ki ukweli haueleweki, Sedat aliyekua boss ktk kampuni Ya Baba yake siku za nyuma, akiheshimika sasa amekua kama kachanganyikiwa kazi hafanyi anashinda na wakina mama nyumbani !!
Mwelekeo ni upi waungwana ?
Hata kama hayupo wahindi wenzie walioko bongo watafikisha salaam kwa namna moja au nyinginekwani aliyeandika hiyo script umeambiwa yuko jf?