Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,557
- 31,968
AseeeHuyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.
Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane.
Nimemkatalia kabisa jana. Nikamwambia aondoe hayo mawazo. mi siachwi hivyo. Leo asubuhi nimempigia simu kumwambia aje home kuna mambo yake yapo sawa.
Kawahi kuja. Tumeongea kidogo nikampa na wine kanywa... Nimemchapa nao kinyama. Kwa hasira sana... Then nikamwambia tutoke. Nikaenda naye kwake. Nikamwambia ajiandae nitampitia tukaanze weekend.
Nimemtumia msg kuwa nimefikiria lile wazo lake la jana. Nimeliafiki nimeona bora tuachane. Amepiga sana simu sipokei na msg zake sijibu.
Na yeye je? Si kuwa alitaka kunifanyia ukatili?We mkatili
HahahahaHuyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.
Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane.
Nimemkatalia kabisa jana. Nikamwambia aondoe hayo mawazo. mi siachwi hivyo. Leo asubuhi nimempigia simu kumwambia aje home kuna mambo yake yapo sawa.
Kawahi kuja. Tumeongea kidogo nikampa na wine kanywa... Nimemchapa nao kinyama. Kwa hasira sana... Then nikamwambia tutoke. Nikaenda naye kwake. Nikamwambia ajiandae nitampitia tukaanze weekend.
Nimemtumia msg kuwa nimefikiria lile wazo lake la jana. Nimeliafiki nimeona bora tuachane. Amepiga sana simu sipokei na msg zake sijibu.
mimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegomaUmemrahisishia kitu alikua anatamani kufanya mkuu.
Hapo nyote mmefaidika.
Haja yako ilikua wewe ndio umuache na kwa hapo umeshinda na yeye alitamani kujitoa kwako nae ameshinda.
Hongereni .
mimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegomaWe mkatili
Anataka kuchukua kombe lako la nani kamuacha mwenzie sio eeh?. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma
Wite ...mwambia aje mysongee, umlegezee tena umle umuache mara ys pilimimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ilikuwa akatangaze kuwa amenibwaga. Wanawake wajinga sana. Hapo angejisikia mshindi. Dk za Jioni nasawazisha na kuweka mabao ya ushindi. Amebaki hoi... Anapiga simu kuwa tuonane tuongee.... Nmemkatalia na niliambiwa alikuja nilipo. Akakuta kumefungwa. Huyu demu anataka turudiane then anibwage. Simpi hiyo nafasi.....What a Come Back manina zake. Mwezi ujao mrudie halafu muache tena tufurahi
Nashukuru sana. Haikuwa kazi rahisi ... Angeweza enda bandika hadi bango barabarani kuwa kanifunga na kachukua ubingwa. Sasa anaumia yeye maana anajaribu kutaka tuyamalize. Anasahau jana aliniambia kuwa mimi na yeye basi tuachane kila mtu ashike maisha yake.Mechi ilikuwa 2-0, dakika ya nyongeza umepiga hat trick na mechi imeisha 2-3....hongera kwa ushindi.
Anataka turudiane kisha yeye aniwahi kwa KO. Simruhusu. Namjua anapenda sana ushindani. Huwa anasema yeye haachwi na mwanaume ni mzuri sana. Huwa anawaacha wanaume. Sasa nimemfundisha.Wite ...mwambia aje mysongee, umlegezee tena umle umuache mara ys pili