Alinipiga mizinga nikaambulia zero, eti sasa anaanza kunitafuta

Hujui kulipa kisasi kitakatifu?
Lipa kisasi cha mapenzi...hii ni kwa wanaume wenye akili pekee wanaweza
 
Kuna sides 2 hapo, anakuambia ukweli, au anakudanganya, maana kwa dunia ya saivi mdada kupata mwanaume wa kutoa ela yote iyo na mzigo hajala si rahisi Cosovo
 
Najua alikuumiza.. KULA KWANZA KITU. Halafu na yeye Muumize kama alivyokuumiza. Wasilete michezo hapa.
 
Ili kimfundisha, wewe usimmblock , akituma message yake isome halafu usiijibu (blue tick).⁰

Hata kama 270k yako haitarudi ila atakuwa amejifunza.
 
Anataka sasa Akuunge kwenye gridi ya taifa.
 
Huyo demu alikuwa na mtu ambaye alikuwa anampenda na wewe alikuweka pending. Nahisi kilichotokea ni kwamba amepigwa chini au ameachana na huyo mtu wake ndio akagundua kuna mtu alimpenda na kumjali kwa dhati.

Wala usikurupuke msome vizuri ana nia gani na mweleze kwa utulivu kuwa alikukosea sana kukukimbia bila kuaga na kukublacklist. Mwambie huna imani nae na unamchunguza kama kweli ana mapenzi maana ulitegemea kumuoa (mdanganye)

Pia piga tunda haraka sana na ukiona bado ana wenge mmwage. Ila kula tunda kufidia hiyo 270,000 yako isiende bure
 
Duuh kwanza uwo moyo unautoa wapi mkuu wakujibu sms zake? Na inamaana wewe iyo namba hukuwa umefuta mzee wangu? Alafu kama ni jirani yako ilikuwaje hukumpa heka heka maana icho kibunda ulimpa kwa mazingira gani?

Kwa maelezo yako ivi kweli unahitaji ushauri juu ya uyo mwanamke mkuu? Ni ombi kwa sisi vijana wa kiume tupunguze malalamiko ya kuhusu wanawake, sisi ndo vichwa sasa hii kulia lia kila siku inapoteza sifa izo za mwanaume.... Sina chakukushauri cuz i know unajua chakufanya nigga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…