Aliniacha, akaolewa sasa ananitaka

Dhambi kubwa kwa mwanaume.;
1.Kusomesha
2.Kurudiana na mwanamke aliyekuacha
3.Kuoa mwanamke aliye na mtoto na aliyemzalisha yupo hai
4.etc

Tafakari
Kurudia mwanamke alie kuacha kisa umaskini iyo ni dhambi kubwa sana kwa mwanamke.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuoshea nyago tena, any way thanks
hahaaaha Ili ajue kabisa huna shobo nae mtambulishe kua ni dada Ako wa shule na ni majirani mlisoma wote shule ya msingi kishumundu 'A'
Hakikisha unamshusha nyota mbaka ajidharau Kwa Ujinga wake!
 
Ushauri gani unataka? Unataka kumuoa na wewe au? Akili hizi🤣. Achana naye huyo.
 
Pita mashariki apite magharibi.Usimtazame usoni huyo
 
Mwambie mm nipo tayari anitafute nimpe ushauri.
Jiangalie ukiendelea kumsikiliza iko siku KY itakuhusu,niamini.
 
Bado nazidi kusstza tuna tatizo la kutoweka kwa kasi kwa specie ya wanaume halisi ktk uso was dunia. Shangaa kwa hili ni ushauri upi unaitaka? Mwenzio alikwambia akienda kwa mwanasaikolojia anashindwaje kurudi na kwa hili?
 
Mwambie mfanyakazi mwenzako aaachane na huyo manzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…