MKAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana
ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwa
muda sasa, na nimegundua wewe ni mtu
ambaye ningependa uwe mke wangu
niishi nawe milele, naomba nikuoe...
MDADA: Haleluya, hatimae salazangu
zimejibu, nimepata taabu sana mimi kaka,
nimedanganywana wanaume wengi
nikajitahidi kutumia waganga wengi ili
nipatemume haikuwezekana,
nikaamuakuokoka , nikafunga sana na
kukesha sana na kutoa sadaka sana
hakikutokea kitu, nikaamuakujiingiza hata
katika klabu za mpira, mwaka mmoja
nikawa Yanga mwingine nikawa simba,
wapi sikupata mume wa kunioa,
nikajikondesha niwe na shepu yakimiss
lakini bure, nikahama tokaMoshi nikaenda
Tanga na hatimae kuja kuja Dar
haikusaidia, nikajiunga na facebook,
twitter, instagram, whatsapp nikaanzisha
mpaka blog ya kujieleza natafuta
mume,sikupata mume wa kunitamikia
atanioa, nikajitahidi kuhudhuria maharusi
mbalimbali bure, hatimae leo maombi
yangu yamejibu, asante sana kaka niko
tayari hata leo kufunga ndoa.
MKAKA: Te te teeeee... Nakutaniaaaaaaa
aa!!!!!
Warning!
All copyright recieved.