Alihitaji kubakwa mwenyeeeewe,.

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Ndugu zangu mdada huyu huku kwetu uswazi alihitaji kubakwa mwenyeeeewe, kwani alikuwa kavalia khanga na sio kitenge, nasema khanga mmoja na kisha anakwenda dukani mida ya magharibi jua lisha kimbilia Kigoma
njemba zenye uchu zikamtamani kwajinsi alivyo valia kichokozi kwanini wasimgegede
akina dada badilikeni na sio kuwasingizia ma brazer, vaeni nguo za heshima muwapo nje ya vyumba vyenu
 
Na mimi nasema wabakwetu ndio wanaovaa khanga moja nyepesi kiisha kutoka nje na kutembea umbali fulani huku wakionyesha geography na fahari ya waume zao hadharani wabakwetu ndio wabakwe na mimi nasema hao wabakwetu kabisa wabakwe tu eh wabakwe
 

Usifanye mzaha na mambo ya kubakwa. Kubaka ni kitendo cha kinyama ambacho hakuna kitu mwanamke atafanya kifanye astahili kubakwa, hata kama ametembea uchi. Mwanaume anayebaka, au anaesifia kubaka ana matatizo ya akili na anahitaji msaada wa madaktari haraka.

Usije ukadhani hata siku moja kuna mwanamke duniani anaependa kubakwa, kwa sababu ikiwa mwanamke ana hamu ya ngono ni rahisi kumpata mwanaume wakati wowote. Hivyo kwa nini atake kubakwa ikiwa anaweza kupata mwanaume kirahisi tu? Wanaume ndio wasio na uwezo wa kupata mwanamke kila wanapohitaji - eidha watakataliwa, au watabembeleza sana, au kama wana hela watatafuta changu doa. Mwanamke hahitaji bidii kiasi hicho kupata mwanaume - hivyo hahitaji kubakwa.
 
mie nadhani serikali ingelifanya kama Saudia kuwepo na askari wa maadili watu kama hawa nikuwafanya Nekedi kwakuwa wanapenda
sasa huko Uswazi mngeenda ufukweni si mngebaka na kuchoka?
kuna sehemu hata iweje hicho kitu mkikiona mtatahamaki (Gerezani, Uswazi nk)
lakini mahali kn ufukweni JKT DISCO nk ni kawaida tu.
NAONA HUKUMU SASA IONGEZWE sio tena Maisha km ya akina Babu Seya
Iwe zaidi
 
Kuvaa nguo za hivyo kwa wanawake kiukweli ni vibaya.

Ila kujustify kumbaka mtu kwa sababu kavaa hivyo haiingii akilini kwa sababu mngejustify pia na haya;

  • Nasikia njaa kali na njiani everywhere kuna vibanda vya chips, basi nile huku sina hela kwa grounds kwamba wamenitega na mm nna njaa!


  • Mi sina hata hela ya nauli na wale wauza chenchi wameziweka barabarani kabisa basi nijitwalie walau mia tano niende zangu TGT nikalale kesho siku nyengine!


  • Kwa sabau chenchi kuwekwa ni matangazo na kuna masharti na vigezo vya kuzipata hali kadhalika kwa chakula na vinywaji, umejuaje huyo dada labda na yeye alikuwa anamtega a specific guy na siyo wote?
 
Nina wasiwasi ulisha bakwa baada ya kutembea nusu uchi ninakushauri uwe mshauri namba 1 kuwaasa wenzio waache kutembea nusu uchi ukitolea mfano ulio kukuta. na kama bado unaendelea kutoka nje nusu uchi uache kabisaa
 
kuna tatzo mahali
si bure
mtu unashabikia ubakaji wazi wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…