GE2025 Alex Msama: Kati ya watu Milioni 60, Milioni 1 tu ndo wanajifanya hawampendi Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais

Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025



Source: Lemutuz TV
 
Huo utafiti ulifanyika wapi na lini? Kama sample size ni milion 60 mbona mm sijafikiwa kutoa hoja zangu? Kama sample ilikua ndogo zaidi kwann aseme kwa namba za waziwaz moja kwa moja kama mtu mwenye uhakika? Je nikimfungulia kesi huyu naweza shinda? Kwenu wanasheria


Nataka kujua mm nipo kweny milion 59 au hiyo 1
 
Chawaism chawamax.. kwa mtu mwenye bad reputations kama yeye no body gives a shit what he has to say
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Chawa huwa wanajizima data. This really is Chura Kiziwa vs Chura Kiziwi. Nchi haina mgombea Urais mwingine ambaye ni mgombea in the strictest sense of the word. Opponents wa kweli wamepigwa pin.
 
Kila mtu anamjua huyu jamaa ni chawa kama Lucas
 
Huyu naye akili yake imeishia kwenye makalio yake. Hana akili mla rushwa huyu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…