Alex Msama anusurika kutekwa

Nadhani ni wakati umiliki wa bunduki uwe simple ili raia tujilinde maana polisi wameshindwa. Si unakumbuka walipotaka kumteka zakaria akawapiga risasi akaponea hapo
 
Nadhani ni wakati umiliki wa bunduki uwe simple ili raia tujilinde maana polisi wameshindwa. Si unakumbuka walipotaka kumteka zakaria akawapiga risasi akaponea hapo
Kabisa

Changamoto ya umiliki wa Silaha, ni hadi upewe kibali na Kamati ya Usalama wa Wilaya ambayo boss wake ni DC

Kwahiyo Kuna baadhi ya watu watanyimwa hiyo ridhaa Kwa kuwa tu wanatokea mlengo wa pili 🙌
 
Hata sio ccm ili ni jizi mi malijua na mikengeza yake
 
Hata sio ccm ili ni jizi mi malijua na mikengeza yake
Alafu naye alichukua form anataka uspika 😄 matapeli
Wanajua kujipenyeza

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20241201_124157_YouTube.jpg
    224.4 KB · Views: 13
Hata kama alidhulumu ndiyo atekwe, watanzania tuache upumbavu wa kushabikia uhalifu... Umedhulumiwa nenda mahakamani
Inabidi watu wabaya wauawe wabaki wema au wachache walobaki wabadirike
 
Huyu sidhani kama ni watu wasiojulikana, huenda ni katika ishu za kudhulumiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…