Hizo ni njia tu za watu kupiga pesa hamna zaidi ya hapo, wana display ads, utadownload software yao itakupa data za hapa na pale utaitumia mara kadhaa huku inadisplay matangazo wao wanapiga hela...kuna situations ambazo antivirus inasaidia japo mara nyingi antivirus kwenye smartphone ni unnecessary...
Kama simu yako iko slow nadhani ni wakati wa ku-upgrade sasa upate simu yenye RAM kubwa kidogo, hakikisha unafunga apps ambazo hutumii ziclear RAM space, ni vizuri kabisa kua na task manager kwenye front screen ikurahisishie kufunga all the time