Album ya bibi Mamndenyi

Hahahaaaaaaa yaani hapa napita tu. Yaani watu wameniona ka chizi vile (sio machizi Wa Mnyika) Hizo swaga za kitambo hicho bana wacha tu!
 
afrodenzi you were so cute, Masha'allah! yani sura yako haijabadilika sana. lol. Invisible is still hot, na tuliamua pamoja kuacha sigara.
 
Last edited by a moderator:
hehehehe nikiikumbuka hii siku nabaki kucheka maana baada ya hapo beach kilichoendelea ni Kaizer anakijua lol ! Thanks Roulette kwa good memories
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…