Album ya bibi Mamndenyi

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,388
Nikiwa najipumzisha hapa kwa Mamndenyi, nimepewa album ya familia yetu kuu ya JF (with legend of who is who in the zoo).
Kumradhi members wote watakao tajwa, hamna cha name calling wala nini, nimepewa ruhsa na uongozi wa JF>

tunaanza na picha ya picknick ya mwaka mpya Mwanza: from ledt to right: gfsonwin akimrudishia Kaizer heleni alizo pewa baada ya kugundua kua kuna expectations in return (Nyuma kabisa ni Kimey); Saint Ivuga akiwakumbatia Mwali na CUTE (Cute ni huyo alie suka), Judgement na Husninyo
 
Roulette sikuwa namrudishia bana ila zilikuwa zinanifinya maskio so nikamwambia Kaizer arudishe kwa sonara kuzitengeneza vizuri. Ila Mtambuzi na Allien jamani wanajua kupiga picha. ona jinsi tulivyo soft
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…