Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando

Upo wakati unakuja , hata uyu atakua na nafasi ya kusema haya , tufike mda penye hapana tuseme hapana na penye ukweli tuseme ndio , taifa letu sote ndungu zangu, tusifurahi mmoja wetu humizwa hii sio afya kwa nchi.
Kwa kweli na kwa hili mie sikubali na sito kubali bado nafasi ya kuliponya hili taifa ipo asema Bwana
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando
Alafu mtu kama uyu anachaguliwa mlinzi wa amani wilaya ati , uyu Bwana hivi huwa anajua kuna kesho? kuna kesho wakuu aya manafasi yasiwadanganye hata kidogo ,hata kidogo asema Bwana