S STEPHEN JIBE Member Joined Jan 23, 2013 Posts 61 Reaction score 9 Feb 2, 2013 #1 Habar wadau, aic chang'ombe ni moja ya kwaya ya nymbo za injil ambayo albam zake tatu zilizopita zinafanya vizur sokon had leo 1.VUNJA 2.GUSA(2006) 3.MPINGA KRISTO(2009) naulze je wametoa albam nyngne zaid ya hzo hapo? maana nina hamu nazo Msaada
Habar wadau, aic chang'ombe ni moja ya kwaya ya nymbo za injil ambayo albam zake tatu zilizopita zinafanya vizur sokon had leo 1.VUNJA 2.GUSA(2006) 3.MPINGA KRISTO(2009) naulze je wametoa albam nyngne zaid ya hzo hapo? maana nina hamu nazo Msaada
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,116 Feb 2, 2013 #2 Yapi inaitwa "usiku wa manane"
S STEPHEN JIBE Member Joined Jan 23, 2013 Posts 61 Reaction score 9 Feb 2, 2013 Thread starter #3 hope1985 said: Yapi inaitwa "usiku wa manane" Click to expand... Asante sana, je tayar ipo sokoni pamoja na video yake?
hope1985 said: Yapi inaitwa "usiku wa manane" Click to expand... Asante sana, je tayar ipo sokoni pamoja na video yake?
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Mar 25, 2017 #4 Kuna hii mpya waliyotoa mwaka huu, mwenye hizo audio tafadhali
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,089 Reaction score 12,812 Mar 27, 2017 #5 notoriousic said: Kuna hii mpya waliyotoa mwaka huu, mwenye hizo audio tafadhali Click to expand... Inaitwaje
notoriousic said: Kuna hii mpya waliyotoa mwaka huu, mwenye hizo audio tafadhali Click to expand... Inaitwaje
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Mar 29, 2017 #6 Msemachochote said: Inaitwaje Click to expand... Pazia le Hekalu