Hata hapa jf kuna alama ya jicho moja kwenye sehemu inayoonyesha viwers.... je hii nayo vipi maana wangeweka macho mawili ingekuwa sawaHabari ndugu zangu, napenda kutoa elimu ya bure juu ya jinsi gani watu wanao muunga mkono shetani wanavyo tumia alama ya jicho moja kama kielelezo cha kumuwakilisha shetani.
Ningependa kuanza na picha ili muelewe nacho taka kusemaView attachment 319841
Tukianza kwa upande wa dini zote mbili umetambua ujio wa na bii wa uongo ambaye wakristo wanamwita MPINGA KRISTO na waislam wanamtambua kama MASIH DAJAL yaani nabii wa uomgo.
Kutokana na mafundisho ya kiislam sifa za nabii huyo wa uongo ni kwamba,nabii huyo atakua ana jicho moja,
Safa za nabii huyo zilitajwa miaka taklibani 1400 iliyopita.
Sasa naingia kwenye mahusiano yaliyopo kati ya maelezo ya hapo juu na kwanini watu maarufu wanatumia alama ya jicho moja..???
Watu maarufu wana ingia katika mtego wa kumtangaza nabii wa uongo ajaye (mpinga kristo) kwa kuwa wao wana aidiwa kufanikiwa kimaisha kupitia kumtangaza na kumuunga mkono mtu huyo.
Na sio alama ya jicho moja tu wanayo itumia bali wanatumia alama nyingi,
Mtego wa shetani anao wawekea ni kuwa uiuze nafsi yako kwake na yeye atasimamia mambo yako....
Itaendelea...View attachment 319844View attachment 319845View attachment 319846View attachment 319846View attachment 319847
Habari ndugu zangu, napenda kutoa elimu ya bure juu ya jinsi gani watu wanao muunga mkono shetani wanavyo tumia alama ya jicho moja kama kielelezo cha kumuwakilisha shetani.
Ningependa kuanza na picha ili muelewe nacho taka kusemaView attachment 319841
Tukianza kwa upande wa dini zote mbili umetambua ujio wa na bii wa uongo ambaye wakristo wanamwita MPINGA KRISTO na waislam wanamtambua kama MASIH DAJAL yaani nabii wa uomgo.
Kutokana na mafundisho ya kiislam sifa za nabii huyo wa uongo ni kwamba,nabii huyo atakua ana jicho moja,
Safa za nabii huyo zilitajwa miaka taklibani 1400 iliyopita.
Sasa naingia kwenye mahusiano yaliyopo kati ya maelezo ya hapo juu na kwanini watu maarufu wanatumia alama ya jicho moja..???
Watu maarufu wana ingia katika mtego wa kumtangaza nabii wa uongo ajaye (mpinga kristo) kwa kuwa wao wana aidiwa kufanikiwa kimaisha kupitia kumtangaza na kumuunga mkono mtu huyo.
Na sio alama ya jicho moja tu wanayo itumia bali wanatumia alama nyingi,
Mtego wa shetani anao wawekea ni kuwa uiuze nafsi yako kwake na yeye atasimamia mambo yako....
Itaendelea...View attachment 319844View attachment 319845View attachment 319846View attachment 319846View attachment 319847
Hamna mkuu wenyewe wanatambua nguvu ya mungu ni kwuba kuliko waoWatch out mkuu jamaa wapo kazini, Hawapendi uanike mambo yao hadharani hivi labda kama na wewe unanguvu ya ziada