Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
WowHabari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
πππnahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwaπππ mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkeweππnilijisikia ovyoπMimi alama zangu za sports bra zinanivutia sijui ndo ukichaa. Hizo bra za kawaida walaa hazijawahi nitoa alama
Sent using Jamii Forums mobile app
πππmkuu kuwa serious..alafu wababa nd wanajibuπππ kweli ccm imetuwezaKwasisi madaktari wateule wa ngozi hilo tatizo dogo sana,kuna massage fulani na mafuta fulani,njo clinic yangu iko mtaa wa uhuru mwanza karibu na mlango mmoja
hapana..yangu imeng'aa sana..uzushi kbs
nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwamm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewenilijisikia ovyo
Anha, bas sawa dawa ni moja kuacha kuvaa bra.. Or tafuta oversized bra.. Or vaa vest instead of bra..
Sent using Jamii Forums mobile app