Alama hizi za bra zinatokaje?

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,466
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😢😢😢😢😢!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Wow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi alama zangu za sports bra zinanivutia sijui ndo ukichaa. Hizo bra za kawaida walaa hazijawahi nitoa alama

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa😁😁😁 mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewe😁😁nilijisikia ovyo😑
 
Huu uzi bila picha jamani? Kweli kabisaa?

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG-20190303-WA0004.jpg

👅👅👅👅
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom