HV ughty unakitambua hicho unacho kihoji?hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Nauliza naomba jibu sasa ningekuwa nafahamu what the hell is wrong with this fools ningeuliza ?! Mimi sitambui wewe unayetambua niambie usiniulize maswali ambayo hayajavaa nguo aiseeHV ughty unakitambua hicho unacho kihoji?
Mi mwenyewe nashindwa kuelewa dhamira yao kuu haswa ni ipihivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Innalillah wainna ilayh rajiunNauliza naomba jibu sasa ningekuwa nafahamu what the hell is wrong with this fools ningeuliza ?! Mimi sitambui wewe unayetambua niambie usiniulize maswali ambayo hayajavaa nguo aisee
Majinga tu, hayana Akili, ni kama mavichaa Fulani hivi yenyewe yanadhani yameletwa dunia yafe tu, wala sio kuishi,kuoa, kujenga, wala kujumuika na walimwengu, kiufupi ni vichaa hata haweleweki wanataka nini.hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Vry simpl3 all they need ni kenya kuondoa majeshi yao somalia thats it.....alshabaab always fights with people who interfere with their affairs period .......hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Wanataka dunia itawaliwe na SHARIA LAWS. Hususani wenye itikadi Kali.hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Nadhani na wew unaweza kuwa ndo hawa alshababyHao wakenya ngoja waumie tu...
Wao walijipendekeza kwa kufuatana na baba wa magaidi USA.
atajua mwenyewe.Nadhani na wew unaweza kuwa ndo hawa alshababy
Ebu jibu yale anayohoji achana na mtindo wa kuuliza swali kisha unajibu swaliHV ughty unakitambua hicho unacho kihoji?
You are insane na nahisi hata wewe utakuwa uamsho rest in peace
Sunni wanawaona waislam wengine kuwa ni makafir na kikwazo kwa kuenea uislam! Magaidi wanaopigania dola ya kiislam kila mahali ni sunni! Hawa jamaa ni hatari sana. Kibaha maili moja wana msikiti wao unaojulikana kama al-kaida na ni chuo pia cha kuwafundisha vijana wadogo imani hiyo! Ndio maana wahanga wakubwa wa ugaidi popote pale ni waislam ambao siyo sunni! Huu ndio ukweli mchungu ambao wengine wasingependa usemwe wazi japo unafahamika!hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?