Al-furaha mutawaliyyah

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,629
Reaction score
2,310
Sambamba na kichwa hapo juu kikiakisi kiarabu cha mchongo, al-furaha mutawaliya, yaani hapa naeleza furaha 3 mfululu au mfuatano, au basi kama mulivyozowea, furaha mfululizo.

1. Yanga na Ubingwa wa Mapinduzi.
2. Berkane na Ubingwa wa Cafcc.
3. Mwanet Mayele akiwa na Pyramid yake wakitutoa kimaso maso dhidi ya watesi wadhulumu wetu Masandawana.

Yaani ninabaki burdaaan kabisa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…