Al Bustan Palace - Muscat Oman

Kuna mwalimu wangu aliwahi nisimulia kuwa kiama hakitotokea mpaka jangwa arab liwe kijani. Nilipita hapo 2012 nimejionea mwenyee mabustani na mitende inavyoota
 
Daaaaa kuna watu wanaishi duniani na wengine wanakaa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…