akirudi ntagunduaje

Na kama humwamini kwa nini uko nae?
 
akigegedwa na mwenye tango zaidi yako utajua, ila akigegedwa na mwenye kibamia hata kama katoka kusuuzwa dakika 2 zilizo pita hutaambulia, na ukimchunguza sana nyuki hutakula asari.kwani si uliikuta isha tumika?
 
Tulizana acha wivu wa kijinga.
 
mmh hapo ujanja hakuna labda uangalie km atakupa vtu vipya ujue kapitia tuition
 

hahaha! I hope hawajaiona, wakaenda kujaribu kwa wapenzi wao
 
Hayo ndio matatizo ya kuingia kwenye ndoa ukiwa na utoto.
 
Unajieleza kwa kuzunguuka sana sasa kama humuamini tukusaidiaje????.
Hapo kubali kumegewa tu na huwezi kujua kamwe kama ameliwa.. Thread hizi......
 
Hivi siku hizi watoto wa kiume pia huwa wanaruhusiwa kuoa!!!
 
Aiseee Mushi bado upo!!!

Mbona ameomba samahani kabla..

Au ndiyo wewe mshukiwa hahaha 🙂


maswali mengine ya kitoto aseeh!!!!!!!

unaweza jikuta unatumia hisia nyingi bila sababu ya maana...........
 
ilo jibu la ugoro puani naona nimjaribu kwanjia iyo naona ndo njia pekee thanks Mashaxizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…