VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.
Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.
Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.
Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)

Lowasa hauziki kwako lakini kwa Watanzania anauzika,Acha unafiki wako wewe mchumia tumbo wa Ufipa

hahahhahahahhaha https://www.youtube.com/watch?v=QkhML2Fh1OY&list=RDJZSvNk8C52M&index=27Sita. Lowassa hali yake ya kiafya siyo nzuri, hawezi kuhimili vishindo na mikikimikiki ya kampeni.
Ref. mkulu alivoanguka jukwaani ingawa yeye alionekana afadhali kiafya.