Akili au Ukwaju??

Kujua mshahara wake tu si sababu huenda Ana vyanzo vingine vya pesa ambavyo wewe huna umuhimu wa kuvifahamu
 
akili hiyo, mjini bila usafiri hupati wa kukujibu hata salamu....
 
kuna jamaa namfahamu yupo kwenye situation kama hiyo unayoilezea
 
vp wewe ni nyumba ndogo yake nini? acha uboya town hapa watakumimba jombaa.
 
Wewe mkopo wako uliochukua ulinunua nini, mbona hujatuambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…