Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Me ni mwalimu wa physics... ila huo ujinga siwezi kuufanya...
Ningekutandika makofi usiku huo huo na kukupeleka kwenu kwa makofi na kama ningemkuta mzazi wako ningemkata pia makofi na shuleni jumatatu ungekula makofi..
E=mc^2
 
Are serious brother? Siamini kama ungefanya hivyo
 
Manengelo, mwalimu kumlala mwanafunzi wake anayejipeleka peleka kwake ni ngumu sana kwa sababu lazima mwalimu ahisi ni mtego kawekewa na wananzengo.
.
Nakumbuka mimi mwaka 2013 tu hapo Geita bwalo la Polisi kulikuwa na kabinti flani matata sana yani kazuri kila idara kuna dogo mtoto wa kotazi tu alikuwa anakamega sasa kumbe kale kabinti kana milolongo ya wanaume ajabu na wengi ni watu wazima.
.
Dingi yake akaweka mtego me nikashuka zangu bwalo kulikuwa na konkodi moja hivi la kike na kale kabinti si nikakaita mwamba kakaja wakati huo hakajui lolote kuhusu mtego wa baba yake, ikapigwa ngoma ya Dulayo "twende na mimi" kabinti kiukweli kamejaaliwa guu na kalio wasukuma unatujua kakaanza kukata uno nikakashikilia dk 5 nyingi mzee wake akafika akiwa na silaha pamoja na askari wengine watatu.
.
Kesi ikahamia kwangu kilichotokea hapo ni siri yangu na nilikuwa naingia kazini saa 4 usiku.
Kwa hiyo ni ngumu sana mwalimu kumlala binti anayejitongozesha tongozesha mambo yameharibika
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Duuuh
 
Huenda,ila ukumbuke binadamu tunatofautiana hata katika kutafsiri matukio,nahisi na yeye hakuweza kutafsiri mambo kama hayo huenda
 
Me ni mwalimu wa physics... ila huo ujinga siwezi kuufanya...
Ningekutandika makofi usiku huo huo na kukupeleka kwenu kwa makofi na kama ningemkuta mzazi wako ningemkata pia makofi na shuleni jumatatu ungekula makofi..
E=mc^2
Hahahahaah naona ticjha ukaweka na formula kabisa ya light[emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣! Ww nahis bado mdogo!nasema ni wachache sana wanaweza kwepa hyo mitego ww! Wakuhesabu mno...men akishaona mwili wa msichana akili ishahama!unarukaje kiunzi hicho sasa!mie naamini!..sema mnajiendkezaga sana😏
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito

Mkuu hebu kuwa serious..yuko form gan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…