Ajira

Joined
Aug 8, 2012
Posts
45
Reaction score
1
:A S tongue:kwa nini hawatuambii kuwa ambao hawajaqualify hawa hapa via email adress
 
:A S tongue:kwa nini hawatuambii kuwa ambao hawajaqualify hawa hapa via email adress

swala la msingi sana hili,manake watu una apply kaz unasubir unakuta kimya hakuna info yoyote ya kukujulisha kama hujafanikiwa kupata nafasi,manake hili nalo ni muhimu,kuliko mtu akawa anasubir kujipa moyo ni bora hata mkamtumia email kumwambia hujafanikiwa,nilishawai kuomba nafasi simba cement,sikupata nafasi ila nilichofurahi walinitumia barua wakaniambia hujafanikiwa,kimtindo niliwakubali na nikaona wapo serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…