Think Member Joined Jul 27, 2012 Posts 71 Reaction score 1 Aug 3, 2012 #1 mwezi wa 3 tanapa walitangaza baadhi ya nafasi za kazi, cha kushangaza nafasi ni chache wanaoitwa lukuki.kwa mfano wanataka watu 16 wanaitwa kwenye usahili watu 234, uwiano upo wapi? au ndo formality?
mwezi wa 3 tanapa walitangaza baadhi ya nafasi za kazi, cha kushangaza nafasi ni chache wanaoitwa lukuki.kwa mfano wanataka watu 16 wanaitwa kwenye usahili watu 234, uwiano upo wapi? au ndo formality?