habarini wanajukwaa....
kisando englishi medium ni shule ya msingi. ipo mkoani Dar es salaam.
inamazingira mazuri kwa wanafunzi.
inatoa huduma bora na inawajari wafanyakazi wake.
uongozi wa shule inawatangazia wananchi wote wenye sifa za kufundisha shule za msingi haswa wenye cheti cha taalum "technique for teaching english medium".
muombaji anatakiwa awe na GPA nzuri maana lengo la shule hii ni kufaulisha wanafunzi na kufuta sifuri kabisa.
maombi yote yaambatanishwe na vyeti vilivyo fanyiwa scanning yatumwe kwenda kwenye email
EDDYMHANDO25@GMAIL.COM
mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 7/72019
watakaokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili.
walimu wenye ujuzi wa ziada wa kutumia Computer watapewa kipaumbele.