kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,897
Kama January ikipita bila ajira za walimu, Kikwete pamoja na wazir wake wa elimu hawanabudi kujihuzuru kwa kudanganyifu
Tafta kazi nyingine ya kufanya,kwani kusomea ualim ndo lazima uwe mwalim?achana na hizo ajira za kimasikini mkuu.samahan lakini.....jiajiri mwenyewe
Ikiwa kila mtu atasema chochote kile anachojisikiabasi tutakuwaTaifa lenye news bila Truths
Huyu rais ni mwongo wakutupwa akiwa ziarani Tabora alisema ajira za mateacher ni mwezi January now ni February lakini kimya Au kunamwezi january wa kisiasa? Ndo ubaya wa kuchagua rais kwa kigezo cha Uhandsome.