mkuuuu sio hacha ni acha!!kwani kuna tatizo bro?nahitaji kufahamu tu,hayo ya mazingira yamekujaje sasa?kama ingekuwa hivyo unavyofikiri si ningemuuliza huyo aliyenitengenezea hayo mazingira?hacha kupanic mkuu!
Relax mkuu, maana wengine hata kuitwa ktk interview kwao huwa sherehe, hivyo kama unajiamini utakuwepo ni hatua nzuri hivyo kila la kheri. Mwaka jana zilitanganzwa nafasi kama hizi lakini short list ilipotoka wengi hawakuona gazeti hivyo nilijitolea kuwasomea watu zaidi ya 70 kupitia pm na hamna na hata m1 aliyebahatika, sasa nikajiuliza inamaana wale waliopata hata mmoja ambae hakuwemo kati ya waliokosa info ingawa sample ya 70+ ni ndogo.1.Mimi najiamini sana.
wewe mtoto wa kigogo
wewe una hela
wewe una ndugu wa uhamiaji
kama huna yote haya subili kama utapata kazi
mkuu jitahidi uwe unaandika vizuri bana!!
Relax mkuu, maana wengine hata kuitwa ktk interview kwao huwa sherehe, hivyo kama unajiamini utakuwepo ni hatua nzuri hivyo kila la kheri. Mwaka jana zilitanganzwa nafasi kama hizi lakini short list ilipotoka wengi hawakuona gazeti hivyo nilijitolea kuwasomea watu zaidi ya 70 kupitia pm na
hamna na hata m1 aliyebahatika, sasa nikajiuliza inamaana wale waliopata hata mmoja ambae hakuwemo kati ya waliokosa info ingawa sample ya 70+ ni ndogo.
Hacha kututisha,ajira tutapata,Mungu ni zaidi ya yote kaka,cha muhimu ni kumuomba tu!.
kuna anayefahamu taratibu za usahili wao? Wanafanya mtihani? Oral interview? Au inakuwaje?
usaili ni oral, zoezi linaloendelea sasa hivi ni kuzi-register all application. Assistant inspector zimepokelewa application 5000, wameanza kuzi-register juma3 hii ya tarehe 03 march, kilasiku wanaregister application 200, it means it will take 25 days for registering all applications. Kila nafasi moja itashindaniwa na watu 5, maana yake ni kwamba kwa nafasi 70 zitashindaniwa na watu 350. Shortlist tusubirie kwanza mpaka watakapomaliza zoezi la kuziregister kwanza then ndiyo waanze kuangalia nani anakidhi vigezo zaidi ya wenzake.

Hamna tetesi zozote mpya wakuu?