Ajira za ualimu za 2014

mzee wa ujiji

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
78
Reaction score
30
jamani naomba kuuliza ajira za ualimu mwaka huu zinatoka lini,mwenye dodoso tupatie lini zinatoka
 
Pitia threads zilizopita kuna majibu mazuri na source za uhakika.
 
wakuu wa shule zote za sekondar na msingi wamepelekewa waraka wa kuwasilisha idadi ya walim wanaohitaji vilevile wajiandae kupokea walimu wapya february.so kijana be petient zinakaribia
 
Subira tu, usikhofu.

Ila mkuu unajua maana ya neno dodoso?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…