Z zephania musse Member Joined Apr 6, 2013 Posts 74 Reaction score 14 Feb 20, 2014 #1 Utumishi walitangaza kazi nov, 2013 kwa maafisa & wahandisi kilimo. Pia wamerudia tangazo feb, 2014 na kukataza kuomba tena.
Utumishi walitangaza kazi nov, 2013 kwa maafisa & wahandisi kilimo. Pia wamerudia tangazo feb, 2014 na kukataza kuomba tena.
N Nyamajiva JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 210 Reaction score 23 Feb 20, 2014 #2 Apo kuna issue ya kuzuga muda uendelee kusonga mbele c bora wangetolea ufafanuzi wa tangazo lilopita tujue
Apo kuna issue ya kuzuga muda uendelee kusonga mbele c bora wangetolea ufafanuzi wa tangazo lilopita tujue
Z zephania musse Member Joined Apr 6, 2013 Posts 74 Reaction score 14 Feb 20, 2014 Thread starter #3 Sijaelewa tatizo nn? maana hakuna hatima ya watumaji waliopita
Z zephania musse Member Joined Apr 6, 2013 Posts 74 Reaction score 14 Feb 22, 2014 Thread starter #4 Kumekucha walioomba kuitwa kwenye usaili just visit PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
FBY 2013 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 401 Reaction score 90 Feb 22, 2014 #5 Wanadai kua kama uliomba usiombe tena maana mombi ya Nyuma bado yanachambuliwa,Swala la kujiuliza sasa kama bado wanafanya Uchambuzi kwa nini wahitaji watu wengine tena kuomba?Akili za kuambiwa changanya na Zako.
Wanadai kua kama uliomba usiombe tena maana mombi ya Nyuma bado yanachambuliwa,Swala la kujiuliza sasa kama bado wanafanya Uchambuzi kwa nini wahitaji watu wengine tena kuomba?Akili za kuambiwa changanya na Zako.