Ajira za JWTZ

KITWANGAUTAM

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
80
Reaction score
18
wanajamvi habari zenu? Napenda kuuliza nafasi za jesh zinatoka lin? Au mwenyetaarifa zozote kulihusu maana mi nina bachelor na napenda kujiunga na jesh niwe mkakamavu, natangulza shukran za dhat kwenu.
 
Kweli ajira ni tatizo hapa nchini hii kazi miaka kama 10 ilikuwa ya kulazimishana haswa kwa watu wenye bachelor ambao waliijiita wasomi khaaa.
 
wanajamvi habari zenu? Napenda kuuliza nafasi za jesh zinatoka lin? Au mwenyetaarifa zozote kulihusu maana mi nina bachelor na napenda kujiunga na jesh niwe mkakamavu, natangulza shukran za dhat kwenu.
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki yangu aliyekaribu na watu wa kitengo ni kwamba, JW tayari wameshaanza ku recruit wiki hii either jana au leo (sina hakika). So, ushapu wako ndio utaokuwezesha kupata uhakika na kufanya application. All the best mkuu
 
Mkuu kwa tarifa nilizokuwa nazo toka Dec mwaka wa jana ni kwamba nafasi zngetoka mwez huu wa january kwa mujibu wa mshaur wa mgambo....but juz tu hapa nimeenda kuulizia kwenye ofic zao huku mikoan wanasema hawana tarfa zozote...sasa sjui wananifcha au la! Cjui unaweza nisaidia kunipatia uhakika zaid kutoka kwa huyo jamaa na applcation zinaenda kwa nan...natangulza shukran zang.
 
Ok! ngoja niulizie nitarudi soon
 
Depo linaanza trhe 01 march. Application kwa mwa maprofesionals hazkutangazwa ila mwsho wa kuomba ilikuwa trh 15 january. Interview zilianza last week nackia next wk vnaanza vpimo.
 
Depo linaanza trhe 01 march. Application kwa mwa maprofesionals hazkutangazwa ila mwsho wa kuomba ilikuwa trh 15 january. Interview zilianza last week nackia next wk vnaanza vpimo.

Da! Kumbe sasa its 2 late...maana hata taarfa zozote walinificha washaur wa mgambo nilowauliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…