Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira ni Dawasco
Dawasco pale ni ba mkubwa kwa ba mdogo kuna watu wa nursing, pharmacy na education wapo pale wanapiga kazi kama water technician bila connection isijisumbue
Mkuu hapo imekaaje wakati serikali imesema ajira zote zitokee utumishi wao kama dawasa wana mamlaka gani ya kuajiri wenyewe hali ya kuwa taasisi nyingi za serikali hazifanyi ivyo. Embu nifafanulie mkuu