Ajira Tanzania

GK Francis

Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
17
Reaction score
0
28/09/2015

Wataalamu katika fani ya mziki wanahitajika:

NAFASI: MKUFUNZI WA MZIKI –NAFASI 2
MKATABA: MIEZI 8

Sifa za Mwombaji:

Awe na Shahada au Diploma katika fani ya mziki kutoka chuo chochote kinachotambuliwa.
Awe na uelewa nadharia na vitendo kuhusu mziki
Awe na uwezo wa kufundisha kinanda (Keyboard), magitaa, na sauti kwa nadharia na vitendo
Awe na moyo wa kujituma katika kutekeleza majukumu yake kwa kadri itakavyoelekezwa na Mkurugenzi wa mafunzo

NAFASI: MKUFUNZI MSAIDIZI WA MZIKI –NAFASI 1
MKATABA: MIEZI 8

Sifa za Mwombaji:

Awe na uzoefu wa kupiga kinanda (Keyboard), gitaa na drums
Awe na uwezo wa kufundisha kinanda (Keyboard), gitaa au drums kwa vitendo
Mwenye cheti cha mziki atapewa kipaumbele Kwa yeyote mwenye sifa atume maombi atume maombi pamoja na maelezo binafsi (CV) ikiwa na mawasiliano yako kwa Barua pepe hapo juu.

NB. Hakuna gharama yoyote atakayotozwa

Contacts:

Email: ebenezamusictraining@yahoo.com
Simu: +255 787 895 473
facebook.com/ebenezamusictraining/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…