Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Store Keeper. Awe na Working Experience kwenye Store. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email
hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wakati wowote kwa Usahili. Ahsante sana