peter willson
Member
- Dec 4, 2015
- 19
- 3
Hahahaha hii lugha ya mwingereza tabu sana Ila ujumbe umefkaDont u involve ur contacts? I.e mail, phone number, post address etc! If done, u will receive through them!
Faru John kumbe upo hai? Lugha yetu kibongo bwana ambayo tnazaliwa tunaitumia, sasa lugha ya kuanzia sec tena ngumbalo, tupo vzr kujibia maswali tu ila sio ufanisi zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha hii lugha ya mwingereza tabu sana Ila ujumbe umefka
Hii ngoma itachezwa kikanda hawawezi wote kuja daslm inategemea utaandka address ya wapi refer national auditVjana wanasubr kuitwa kwenye Interview natamani kuona mass itakayokuwepo, watakaoitwa wapige pcha jinsi uwanja utakavojaa, nahisi itakuwa kama kuna mechi ya Simba vs Yanga!
Maana makontena yanayosubr ajira ni zaid ya kawaida,
Dont u involve ur contacts? I.e mail, phone number, post address etc! If done, u will receive through them!
Ur emailHelo members!
After applying through Ajira portal, getting to know that my application has been successful. How do I receive feedback, is it either through my email or.....?
Ulitaka ukafanye usahili peke ako?Vjana wanasubr kuitwa kwenye Interview natamani kuona mass itakayokuwepo, watakaoitwa wapige pcha jinsi uwanja utakavojaa, nahisi itakuwa kama kuna mechi ya Simba vs Yanga!
Maana makontena yanayosubr ajira ni zaid ya kawaida,