Hahahaha! Hawataki wale wa kujiendeleza kimasomo,hivyo hizo four za 29 hadi 32 hazinaga appetite ya kusoma kufikia kiwango flani cha elimu, nadhani hii itakuwa msaada mkubwa kwa jeshi kuwa na nguvu kazi muda mrefu.akili zangu zinavyonituma lkn kama sijafikiria vibaya