wewe uliepost 1.5 sio figure ya kweli....nimefanya interview pkf and niko final stages kuanza......salary ni super low....nimesoma fresh and nearly namalizia cpa but wale ni wahindi so mtu mweusi kiroho safi wanakukandamiza and ajira ni ngumu so unakausha unakubali kutengeneza CV...
Mwache aende mdau akajionee mwenyewe huenda akaleta mabadiliko kwenye organization au akikuta kuna shida anaweza akatoka na mkakati mzuri kwa maisha yake
Ubaya wa kazi ukishaipata muda wa kufukuzia ingine unakuwa ushapungua sana....hao jamaa nawajua vizuri...wanatafuta watu kwa sababu wanaoajiriwa hawakai